2nd March, 2017

NOTICES

FOURTH SUNDAY OF LENT OF YEAR – A

Sunday 9th April 2017 will be Passion Sunday. Masses will be as follows:-

 • First Mass      7.30 a.m.
 • Second Mass  9.30 a.m.
 • Third Mass   11.30 a.m.

 1. This coming Sunday 2nd April 2017 will be our Parish Harvest Sunday. The main purpose of the harvest Sunday is to offer our contributions in support of the recurrent and development budget of our parish. All parishioners are encouraged to participate generously. Those who will not be able to offer their tithe this coming Sunday; are encouraged to bring their tithe on another Sunday in the course of the month or drop your tithe in one of the boxes provided in the Church. Cheques are payable to ST. AUSTINS PARISH and our paybill no.is 593500.

 

 1. All men who wish to join the Catholic Men Association (C.M.A) are requested to register at the parish office. Instruction to prepare them to be received into this society will commence on 16th April 2017.
 2. Formation for C.W.A is ongoing every fourth Sunday of the month. If you would like to join C.W.A kindly register at the parish office.

 

 1. Today all women will have a seminar which will be facilitated by Fr. Charles Kinyua at 11.30 a.m. The seminar will take place at Multipurpose hall.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

26 Marchi, 2017

 

MATANGAZO

JUMAPILI  YA  NNE  YA  KWARESIMA  YA  MWAKA – A

 

 1. 1. Jumapili ijayo tarehe 2/4/2017 itakuwa ni Jumapili yetu ya mavuno. Umuhimu wa mavuno haya nikutuwezesha kama wanaparokia kuchanga pesa kwa ajili ya mahitaji mbalimbali ya parokia. Wale ambao hawataweza kuleta Tithe yao Jumapili ijayo, wanaombwa kufanya hivyo jumapili yoyote katikati ya mwezi pamoja na matoleo au waiweke katika mojawepo ya masaduku yaliyopo hapa kanisani. Cheques ziandikwe kwa ST AUSTINS PARISH. Paybill no. yetu ni 593500.
 2. Leo kutakuwa na mkutano wa viongozi wote wa jumuiya ndogo ndogo na mashirika ya kanisa watakuwa na mkutano maalumu sana wa kutayarisha ibada za wiki takatifu. Mkutano huo utafanyika baada ya misa ya saa mbili ndani ya ukumbi wa Parish Pastoral Centre.

 

 1. Wanaume ambao wangependa kujiunga na shirika la C.M.A wanaombwa wajiandikishe hapo inje, mafundisho ya kuwandaa ili wapokelewe ndani ya shirika yataanza tarehe 16 Aprili, 2017.

 

 

 1. Leo jumuiya ya Mt. Kizito watakutana “Amani na Wema” yaani “Children Home” saa nane kamili fikeni bila kuchelewa.

 

 1. Leo kutakuwa na seminar ya akina mama wote saa tano na nusu asubuhi itakayofundishwa na Fr. Charles Kinywa. Semina hiyo itakuwa katika ukumbi wa Multipurpose hall.

 

 

 

17th   March   2013

NOTICES
FIFTH  SUNDAY  OF  LENT  YEAR – C


 • Next Sunday 24th March 2013 will be Passion Sunday. Masses will be as follows:-
 • First Mass      7.30 a.m.
 • Second Mass  9.30 a.m.
 • Third Mass   11.30 a.m.

All Masses will begin with procession with the palms.      There will be no youth Mass.

 • Parents who have infant children and would wish to have them baptised during Easter are advised to register them at the parish office.

 

 • The Principal of St. Mary’s School wishes to announce the vacancy for the job of executive secretary:-

Requirements:

 • A graduate in secretarial studies and / or Business Administration.
 • Over 5 years related work experience.
 • Computer literate with ability to learn new software applications.
 • Age 35 – 40 years of age.
 • The Focolare Community in Kenya would like to invite the parishioners of St. Austin’s to the celebration of the 5th anniversary of the departure for heaven of Chiara Lubich, foundress of the Focolare Movement. This celebration will take place at the Holy Family Minor Basilica on  Saturday 16th March 2013 between 2.00 p.m. to 5.30 p.m. The celebrant will be Bishop David Kamau. All are welcome.

 

 • Instructions for parents and godparents of infant children registered for baptism this Easter will be held on Saturday 23rd March 2013 starting from 2.00 p.m. inside the Parish Pastoral Centre.

 

 • Adults who would like to receive various Sacraments of the Church this Pentecost as part of the Centenary celebrations of our Church are advised to register at the Parish office.

 

 

17   March  2013
MATANGAZO
JUMAPILI  YA TANO  YA KWARESIMA YA  MWAKA - C

 • Jumapili ijayo tarehe 24 Marchi 2013 itakuwa ni Jumapili ya Matawi. Siku hiyo misa zitafanyika kama ifuatavyo:-
 • 7.30 a.m.  Misa ya kwanza
 • 9.30 a.m.  Misa ya pili
 • 11.30 a.m. Misa ya tatu

Misa zote zitaanza kwa maandamano ya matawi. Siku hiyo hatutakuwa na misa ya vijana.

 • Kutakuwa na Recollection na misa ya Altar boys na flower girls Jumamosi ijayo tarehe 23  Marchi 2013 kuanzia saa mbili asubuhi.

 

 • Wazazi walio na watoto wachanga na wangependa wabatizwe ifikapo Pasaka wanaombwa wawaandikishe katika afisi ya parokia.
 • Mafundisho kwa watu wazima ambao wangependa kutayarishwa kwa Sakramenti mbali mbali huendelea kila jumapili baada ya hii misa katika ukumbi wa Multipurpose Community Centre.

 

 • Mwalimu Mkuu wa shule ya St. Mary’s angependa kutangaza nafasi ya kazi ya secretary.

Mahitaji kwa watakao tuma maombi.

 • Graduate in Secretarial studies/Business Admission.
 • Awe ameshafanya kazi hii kwa zaidi ya miaka mitano.
 • Awe na ujuzi wa matumizi ya tarakilishi na uwezo wakujifunza zaidi taaluma hii.
 • Uwe na umri wa kati ya miaka 35 – 40

Maombi yote yatume kwa Mwalimu Mkuu na yafikishwe kwake kabla au tarehe 14/3/2013

 • Mafundisho kwa wazazi na wasimamizi ambao wamewaandikisha

watoto wao kwa ubatizo ifikapo Pasaka yatafanyika Jumamosi ijayo tarehe 23 Marchi 2013 kuanzia saa nane mchana. Mafundisho haya ni kwa wazazi wote wawili pamoja na wasimamizi na yataendeshwa ndani ya parish Pastoral Centre.

 

 

 • Watu wazima ambao wangependa kupokea Sakramenti mbali mbali ifikapo Pentekoste na kama adhimisho la sherehe ya Centenary ya kanisa letu wanashauriwa wajiandikishe katika afisi ya Parokia.

 

 • Viongozi wa shirika la Focolare Kenya wangependa kuwaalika wanaparokia wa Mt. Austin’s kwa sherehe ya 5th anniversary ya tano tangu kifo cha mwazilishi wao Chiara Lubich. Sherehe hizi zitafanyika katika kanisa kuu la Holy Family Minor Basilica Jumamosi tarehe 16 Marchi 2013 kuanzia saa nane mchana hadi saa kumi na moja na nusu jioni. Ibada ya misa takatifu itaendeshwa na Askofu David Kamau. Nyote mwakaribishwa.