OUR WEEKLY NOTICES
NOTICES SOLEMNITY OF PENTECOST - YEAR C
1. From today 8 th June 2025 we have begun Parish
Harvest week up to 15 th June 2025. Cheques are
payable to ST. AUSTINS PARISH, our paybill No. is
593500 and the account Name is HARVEST
WEEK. You can also drop your tithe in any of the
three tithing boxes provided in the church.
2. We continue to appeal to all to support our Prayer
Garden project. Please send your contribution and
pledges to Paybill No. 8998990. Account no.
300100. Cheques are payable to St. Austin’s Prayer
Garden Account.
3. Catholic Men Association will animate the 10.00
a.m. next Sunday 15 th June 2025, during this Mass
commissioning will take place for those who are be
attending formation classes.
4. The Annual Spiritan Family Day to raise funds for the formation of seminarians will be on Frida13th June 2025. It will start with mass at 10.00am in the Church then proceed to Lower Multipurpose hall. Karibuni nyote
MATANGAZO SHEREHE YA PENTEKOSTE- MWAKA C
1. Kuanzia leo tarehe 8 June2025 ni wiki yetu ya
mavuno hadi tarehe 15 June 2025. Hundi
ziandikwe kwa ST. AUSTIN’S PARISH. Paybill
No. yetu ni 593500. Vile vile unaweza
kutumbukiza mavuno yako ndani ya masanduku
matatu yaliyomo kanisani.
2. Tunaendelea kuwaomba wote kuunga mkono
mradi wetu wa Bustani ya Maombi (Prayer
Garden). Tafadhali tuma mchango wako kwa
Paybill No. 8998990. Akaunti ni 300100. Hundi
zinalipwa kwa Akaunti ya Bustani ya Maombi ya
St. Austin.
3. Catholic Men Association (C.M.A) watahudumu
kwa Misa saa nne asubuhi (10.00 a.m.) Jumapili
ijayo tarehe 15 Juni 2025, wanaume
waliohudhuria mafunzo ya CMA watapokelewa
siku hiyo.
4. Siku ya Spiritan Family Day kwa ajili ya kuchangisha fedha ya malezi ya waseminari itakuwa tarehe 13 Juni 2025. Itaanza na misa saa 10:00 alfajiri katika Kanisa kisha kuelekea kwenye ukumbi wa Lower Multipurpose. Karibuni nyote

