OUR WEEKLY NOTICES
NOTICES 3RD SUNDAY IN ORDINARY TIME YEAR A
1. Dear Parishioners, We warmly invite all parishioners, especially those who are new or not yet part of any group, to join our Small Christian Communities (SCCs) and Pious Groups. These groups offer a beautiful opportunity to grow in faith, fellowship, and service, while building meaningful relationships within our parish family. To join, kindly scan the QR codes available on the noticeboards at the church entrances or visit the parish office for further guidance.
2. The Family Life Ministry is pleased to announce the addition of two more Family and Marriage Therapists. They will be available for counseling and guidance sessions on Thursdays and Saturdays from 2:00 pm to 5:00 pm. Welcome all, Let’s build strong families. For more information, please contact: Jacinta- 0722428831 or Theresia-0721758706.
3. The Parish is organizing a teenagers Mass every Sunday at 10.00 a.m. for young people aged 14-19 years. We are currently finalizing on the venue. Teenagers are kindly requested to begin preparing themselves to take part.
4. The youth family is excited to announce to you that their Shop DIVINE BEVERAGES & GIFTS is now fully operational all week long. We are excited to introduce a variety of freshly prepared coffee for you to enjoy. We warmly invite all parishioners to visit the shop, make a purchase, and support our youth initiatives. Every cup and every gift item bought empowers the youth and helps sustain their activities. Come sip, shop, and support the future!
MARRIAGE BANNS – 1st Time
1. Dennis Mativo Kioko
s/o Sospeter Kioko Munguti & Grace Mwikali Kioko
Intends to wed
Gloria Nduku Matheka
d/o Andrew Matheka & Rita Muthoki
MATANGAZO JUMAPILI YA 3 YA KAWAIDA YA MWAKA A
1. Waumini wapendwa, tunawaalika kwa moyo mkunjufu waumini wote, hasa wale wapya au ambao bado hawajajiunga na kikundi chochote, kujiunga na Jumuiya Ndogo za Kikristo (SCCs) na Vikundi vya Kitawa. Vikundi hivi vinatoa fursa nzuri ya kukua katika imani, ushirika na huduma, huku tukijenga mahusiano ya maana ndani ya familia yetu ya parokia. Ili kujiunga, tafadhali changanua misimbo ya QR iliyo
kwenye mabango ya matangazo katika milango ya kanisa au tembelea ofisi ya parokia kwa maelekezo zaidi.
2. Huduma ya Maisha ya Familia inapenda kutangaza kuongezwa kwa wataalamu wawili zaidi wa ushauri wa Familia na Ndoa. Watapatikana kwa vikao vya ushauri na mwongozo Alhamisi na Jumamosi kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 11:00 jioni. Karibuni nyote tujenge familia imara. Kwa maelezo zaidi, wasiliana na: Jacinta – 0722428831 au Theresia – 0721758706.
3. Parokia inaandaa Misa ya Vijana Balehe kila Jumapili saa nne
asubuhi kwa vijana wenye umri wa miaka 14–19. Kwa sasa
tunakamilisha maandalizi ya eneo litakalotumika. Vijana wanahimizwa kuanza kujitayarisha kushiriki.
4. Familia ya vijana inafuraha kutangaza kuwa Duka lao la DIVINE BEVERAGES & GIFTS sasa linafanya kazi siku zote za wiki.
Tumeongeza pia aina mbalimbali za kahawa zinazotayarishwa papo hapo kwa ajili yenu. Tunawaalika waumini wote kutembelea duka, kununua bidhaa, na kuunga mkono miradi ya vijana. Kila kikombe na kila zawadi unayonunua inawawezesha vijana na kusaidia kuendeleza shughuli zao.
MARRIAGE BANNS
Mara ya kwanza
1. Dennis Mativo Kioko
s/o Sospeter Kioko Munguti & Grace Mwikali Kioko
Wameamua kuoana
Gloria Nduku Matheka
d/o Andrew Matheka & Rita Muthoki
